Unordered List

Definition List

Wema Sepetu Na Kajala Waweka Tofauti Zao Kando


Habari mpya kama sio njema ni kuwa Wema Sepetu na Kajala Masanja wamemaliza tofauti zao zilizotokana na ‘beef’ lao lilichukua week kibao sasa. Kwa mujibu wa taarifa mpya mitandaoni ni kuwa mastaa hao wawili ambao waliwahi kuwa mashosti wakubwa walimaliza ‘beef’ lao katika sherehe ya kibao kata cha mwandishiwa magazeti ya Global publishers anayeitwa Imelda Mtema.

Katika tukio hilo mastaa kibao walihudhuria akiwemo Aunty Ezekiel ambaye kwasasa amekuwa karibu zaidi na Wema Sepetu. Nae Wema Sepetu kupitia Instagram ame-share picha hiyo hapo juu akiwa na kina Kajala na kuandika"nawapenda sana hawa hapa..jana hiyo kwa kibaokata cha Imelda Mtema"
Wema Sepetu Na Kajala Waweka Tofauti Zao Kando Wema Sepetu Na Kajala Waweka Tofauti Zao Kando Reviewed by Admin on Monday, June 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.