Unordered List

Definition List

Ujumbe Wa Kim Kardashian Kwa Kanye Kusherehekea Siku Yake Ya Kuzaliwa


Kanye West siku ya jana alisherehekea miaka 37 tangu kuzaliwa. Kwa hivyo?

Kim Kardashian, staa aliyestaafu baada ya video ya ngono yake na Ray J, ambaye pia ni bibi 'Ye alimrushia ujumbe kwa mtandao kumpongeza ndoa yake.

Hivi ndivyo alivyosema:
“Happy Birthday to my husband and best friend in the entire world! You have changed my life in more ways than you know! The way you look at life inspires me! I love you so much!!!”

Kim Kardashian na Kanye West waliweza kufanya harusi ya ajab mwezi Mei 24 Florence nchini Italy.
Ujumbe Wa Kim Kardashian Kwa Kanye Kusherehekea Siku Yake Ya Kuzaliwa Ujumbe Wa Kim Kardashian Kwa Kanye Kusherehekea Siku Yake Ya Kuzaliwa Reviewed by Admin on Monday, June 09, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.