Unordered List

Definition List

IMEFICHUKA!! Makalio Ya Vera Sidika Ni Ya Mchina? Cheki Anavyoyaongeza Makalio Yake Yaonekane Makubwa

Hatuamini makalio ya Vera Sidika ni ya uhakika tena mpaka apige picha ya uchi kama alivyofanya Corazon Kwamboko.

Ukweli huu umejitokeza baada ya paparazi kumpiga picha Vera Sidika akiwa kwa danguro ambazo picha hizo zimekuwa gumzo wikendi nzima.

Katika moja wapo ya picha hizo, Vera ameonekana akiwa amevalia aina flani la vazi ambalo huyafanya makalio yaonekane makubwa.

Cheki picha yenyewe.

Kwa umakini utaona amevalia nguo nyeusi ambayo sana sana hutumika kuyafanya makalio yaonekane makubwa.

Cheki vazi lenyewe linalofanya makalio yaonekane makubwa.


Huu waonekana kuwa ni mchezo wa kawaida kwa madada wetu. Inaaminika baadhi ya mastaa huku bongo pia mtindo ni uu huu.
IMEFICHUKA!! Makalio Ya Vera Sidika Ni Ya Mchina? Cheki Anavyoyaongeza Makalio Yake Yaonekane Makubwa IMEFICHUKA!! Makalio Ya Vera Sidika Ni Ya Mchina? Cheki Anavyoyaongeza Makalio Yake Yaonekane Makubwa Reviewed by Admin on Tuesday, June 10, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.