Unordered List

Definition List

Wema Sepetu Afunguka Kuhusu Ugomvi Wake Na Kajala

Baada ya taarifa za ugomvi wa mwanadada Wema Sepetu na Kajala kusumbua vichwa vya habari miezi iliyopita na baadae taarifa nyingine kuja kwamba wakali hao wamepatana kwenye msiba wa Adam Kuambiana , sasa Wema Sepetu ameamua kufunguka kuhusiana na hilo, alisema haya ”If y’all must know mimi ni mtu ambaye huwa nasomaga sana comments…. Na kama nimekosa kusoma comment yako ujue ni kwamba zinakuwa nyingi mno na nashindwa soma zote…. Ni kwa muda mrefu sana mnaniona nakaa tu kimya na sisemi chochote kuhusu my friendship life…
But mimi binafsi na muhusika ndo tunajua… saa nyingine mnaongea hadi nakereka but nakaa kimya… Nilitaka tu kusema mimi sina kinyongo na mtu… na kama kuisha mbona yalishaisha…
Au ndo mlikuwa mnataka kuona bega kwa bega…?"

"In my life siwekagi vinyongo… nyi wenyewe mnajua… So jus so u want to know hayo yalishapita na maisha yanaendelea… ni hayo tu…”

Kwa sasa Wema amekua na urafiki wa karibu sana na muigizaji mwenzake Aunty Ezekiel na kila saa wawili hao wameonekana wakiwa pamoja…
Wema Sepetu Afunguka Kuhusu Ugomvi Wake Na Kajala Wema Sepetu Afunguka Kuhusu Ugomvi Wake Na Kajala Reviewed by Admin on Thursday, June 12, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.