Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Bila Makeup Akionyesha Pete Yake Ya Harusi

Katika picha hii imemuonyesha Kim Kardashian na Blac Chyna (mdada waliopimishana makalio na Kim wakati flani).


Kwa umakini utagundua kuwa Kim Kardashian hajavalia makeup na pia ameibadilisha ile pete yake ya shaba ambayo ina uzani wa carat 15 aliyopewa na Kanye wakati walipochumbiana na sahizi anavalia pete yake ya harusi.
Kim Kardashian Bila Makeup Akionyesha Pete Yake Ya Harusi Kim Kardashian Bila Makeup Akionyesha Pete Yake Ya Harusi Reviewed by Admin on Thursday, June 12, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.