Unordered List

Definition List

Jombi Amfungulia Mashtaka Mkewe Kwa Kuzaa Watoto Wabovu

jombi amshtaki mke kwa kuzaa watoto wa kutisha
Duniani kweli kuna vituko. Itakuaje unaweza kumpeleka mkeo mahakamani kisa na maana ni kuwa amezaa watoto wa kutisha?

Kulingana na habari ya Irish Times, mchina mmoja aliachana na mkewe na kuitisha fidia baada ya kuona anamzalia watoto wenye sura mbaya.

Jian Feng anamshtumu mkewe kwa kuwa na mpango wa kando lakini baada ya uchunguzi uliofanywa wa DNA, ilibainishwa kuwa watoto hao ni wake halali.

Lakini baada ya kutiwa msukumo, bibi huyo alikiri kuwa yeye aliweza kufanyiwa upasuaji wa uso ili kuwa mrembo ambapo ilimgharimu $100,000.

Bwana huyo alishinda kesi hio kwa kupewa fidia zaidi ya $120,000.

Unaweza pia kusoma:
Siri Imevumbuliwa: Wema Sepetu Abadilisha Ngozi

"Nilioa mke wangu kwa sababu ya mapenzi na nilimpenda lakini matatizo yalianza punde tulipopata mtoto wetu wa kwanza." bwana huyo alikuwa akiliambia shirika la Irish Times. "Mtoto wetu wa kike alikuwa anatisha kiasi cha kuwa alikuwa akiniogofya.
Jombi Amfungulia Mashtaka Mkewe Kwa Kuzaa Watoto Wabovu Jombi Amfungulia Mashtaka Mkewe Kwa Kuzaa Watoto Wabovu Reviewed by Admin on Thursday, November 07, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.