Unordered List

Definition List

Justin Bieber Arushiwa Chupa Ya Uso Wakati Alipokuwa Kwa Jukwaa(Video)

Justin Bieber alikuwa na wikendi ya kutatanisha ajabu.

Kwanza mwanamziki huyu wa miaka 19 alionekana katika hoteli flani inayotembelewa na malaya na baada ya masaa matatu alitoka na wanawake.

Siku ya Jumamaosi akiwa Brazil, alirushiwa chupa na shabiki wake wakati alipokuwa anaimba wimbo wa 'Boyfriend'.

Tukio hilo lilimghadhabisha Bieber na ilimfanya kutoka nje ya jukwaa kwa muda kabda hajarudi kuperform kwa mara nyingine.

Cheki Video ya tukio hilo:


Justin Bieber Arushiwa Chupa Ya Uso Wakati Alipokuwa Kwa Jukwaa(Video) Justin Bieber Arushiwa Chupa Ya Uso Wakati Alipokuwa Kwa Jukwaa(Video) Reviewed by Admin on Monday, November 04, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.