Msanii maarufu wa miaka 19 Justin Bieber alijaribu kujificha kwa nguo wakati alipokuwa akitoka katika kilabu kinachomiminika na vibiriti ngoma na malaya.
Star huyo wa nyimbo 'Believe' alionekana akiingia humo ndani kwa masaa matatu kabla kutoka na wanawake wawili.
Katika kisanga chote hiki, paparazi mmoja alirushiwa maji na kuonywa na bausa wa Bieber kuwa atajikuta pabaya kama hatoacha kupiga picha.
Wiki iliyopita kulikuwa na kisanga cha Chris Brown kupigana na shabiki wake mmoja hadi kumuumiza pua.
Star huyo wa nyimbo 'Believe' alionekana akiingia humo ndani kwa masaa matatu kabla kutoka na wanawake wawili.
Bieber Akisindikiswa na Mabausa wake kwa gari |
Katika kisanga chote hiki, paparazi mmoja alirushiwa maji na kuonywa na bausa wa Bieber kuwa atajikuta pabaya kama hatoacha kupiga picha.
Wiki iliyopita kulikuwa na kisanga cha Chris Brown kupigana na shabiki wake mmoja hadi kumuumiza pua.
Justin Bieber Aonekana Na Mapapazi Katika Kilabu Cha Madanguro
Reviewed by Admin
on
Monday, November 04, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano