Unordered List

Definition List

Vijana Wamshawishi Ray C Kuingia Kwa Siasa


Makundi mengi ya vijana ndani ya mtandao wa facebook yamekuwa na imani kuwa msanii Rehema Chamila anaweza kuwa mtetezi wao mkubwa endapo ataamua kuingia kwenye siasa.

Vijana hao wanaamini kuwa Ray C kwa sasa amepitia changamoto nyingi hivyo wanaamini kama akipewa nafasi ya kuingia bungeni inaweza kuwa chachu yayeye kupigana na watu wanaoingiza madawa ya kulevya nchini na kuwaokoa vijana wengi wanaopotea kutokana na matumizi ya dawa hizo

"Ray C kwa nini asiingie tu kwenye siasa na akatutetea kwenye mambo ambayo hata yeye alikutana nayo hadi yakataka kumtoa roho, tunaamini anaweza endapo ataamua kufanya hivyo" alidai kijana mmoja ndani ya mtandao wa facebook
Vijana Wamshawishi Ray C Kuingia Kwa Siasa Vijana Wamshawishi Ray C Kuingia Kwa Siasa Reviewed by Admin on Sunday, June 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.