Unordered List

Definition List

Rihanna Achanwa Live Kwa Nguo Yake Ya Uchi, Alichojibu Kinatisha!!

Hii wiki imekuwa ndefu kwa Rihanna. Na si kwa sababu amekuwa akifanya kazi ya kuandika albamu mpya bali ni kwa kuwa amekuwa kwa headline kwa sababu ya picha zake tata alizopiga akiwa amevalia nguo ya uchi katika fasheni CFDA.

Jambo hili halikuwaridhisha kikundi cha waimbaji cha TLC na waliamua kumchana live Rihanna katika kipindi cha Channel 7 cha Sunrise kilicho Australia.

T-Boz mmoja wa kikundi hicho alifunguka na kudai kuwa amechoshwa kumuona Rihanna kila wakati akiwa uchi na kuwa Riri asione kuwa anaonewa wivu. “Every time I see you you don’t have to be naked. It’s easy to sell sex, It’s hard for us to say anything because any time we do, they say, ‘Oh TLC must be jealous’, but I call a spade a spade”.

Naye mwenzake wa kundi hilo kwa jina Chilli wamejitetea kuwa waliweza kupata umaarufu wakiwa na nguo zao mwilini lakini pia wangeweza kuwa uchi siku nzima bila tatizo. ‘We became the biggest girl selling group of all time with our clothes on and that says a lot,’ ‘We could go around too with booby cakes [breasts] out all day long.

Bila kusita Rihanna aliwajibu na Tweet kuwa hawezi kubadilishwa vile alivyo yeye sahizi. ” When there’s no changing the fact that I’m me, and they’re welll … they’re them”

Halafu akaanza kuwashambulia kwa kurusha picha yao ambayo waliipiga wakiwa vifua wazi.


Baadaye Riri akaifanya kama twitter background picture yake.

Rihanna Achanwa Live Kwa Nguo Yake Ya Uchi, Alichojibu Kinatisha!! Rihanna Achanwa Live Kwa Nguo Yake Ya Uchi, Alichojibu Kinatisha!! Reviewed by Admin on Friday, June 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.