Unordered List

Definition List

Picha 10 Za Rihanna Ambazo Zitakuacha Kinywa Wazi

Kama ulidhania Lady Gaga pekee ndiye aliyerukwa na akili kwa mitindo ya kuvalia nguo tata, rudi nyuma umwangalie Rihanna kwa mara ya pili.

Staa huyu ambaye hivi karibuni ameachwa na Drake kwa kuwa ni mwanadada mwenye majukumu mengi, tumemuona akivalia nguo tata kuanzia ile iliyoyaeka matiti yake wazi hadi ile iliyoonyesha chuchu kweupe.

Picha latest ambazo zitakuacha mdomo wazi ni zile alizopigwa wakati alipokuwa katika CFDA Fashion Awards ambapo Rihanna amekuwa akitembea uchi mnyama (sijakosea kwani nguo ilikuwa ikionyesha kila kitu chake)

Cheki picha zenyewe:


Hivi wakubaliana na huu mtindo jisa ni fashion?

Picha 10 Za Rihanna Ambazo Zitakuacha Kinywa Wazi Picha 10 Za Rihanna Ambazo Zitakuacha Kinywa Wazi Reviewed by BkuHabari Admin on Wednesday, June 04, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.