Inajulikana kuwa Kim na Kourtney kawaida huwa na mivutano kuhusiana na nani ana mwili wa kuvutia kumshinda mwenzake.
Katika picha za E! wawili hao wameridhisha kuwa wamebeba mizigo katika makalio na imekuwa vigumu kubainisha nani amemshinda mwenzake kwa kuwa na uzani wa nyuma. Hebu angalia mwenyewe useme nani kashinda hapa.
Hapa nashindwa kuchagua nani mshindi |
Kim akionyesha kifua huku Kourtney akichagua kuonyesha kidogooo |
Mashindano Ya Makalio: Kim Kardashian vs Kourtney Kardashian
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Saturday, May 17, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano