Unordered List

Definition List

Mwanasiasa Sharobaro Wa Nairobi, Mike Sonko Azua Sintofahamu ICC Akitaka Kumuombea Rais Msaidizi William Ruto

Mwanasiasa sharobaro wa Nairobi Senator Mike Mbuvi Sonko kama kawaida anafahamika kuwa mwanasiasa matata na roundi hii ameamua kuuonyesha utata wake kule Hague ambapo rais msaidizi William Ruto ameshtakiwa kufanya mauaji ya halaiki.

Akiwa huko, mwanasiasa huyu aliweza kuzua vurumai huku akitaka kumfanyia maombi ya faragha rais huyo msaidizi mbele ya milango ya koti la Hague.

Cheki picha halafu angalia vizuri mtindo wa nywele mwanasiasa huyu alijachagua kufaa na meseji aliyokuwa nayo.




And he prayed right at the entrance of the court for Ruto's redemption


Mwanasiasa Sharobaro Wa Nairobi, Mike Sonko Azua Sintofahamu ICC Akitaka Kumuombea Rais Msaidizi William Ruto Mwanasiasa Sharobaro Wa Nairobi, Mike Sonko Azua Sintofahamu ICC Akitaka Kumuombea Rais Msaidizi William Ruto Reviewed by BkuHabari Admin on Saturday, May 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.