Umeshampigia kura Diamond Platinumz? Na kama bado wangojea nini?
Diamond yupo katika mashindano ya BET Awards ambapo amechaguliwa katika kategiria ya Best International Act: Africa na aanakuomba wewe umpigie kura hivi sasa na kama si sasa ni sasa hivi.
Votes mwisho June 29 jijini Los Angeles mshindi atajulikana so ingia umpigie kuwa sahizi.

Bofya hapo chini uweke kura yako kwa Diamond Platinumz.
VOTE FOR DIAMOND PLATINUMZ HERE!!!
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Sunday, May 18, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano