Story na Millard Ayo
Kwa miaka na miezi baadhi ya makubwa yaliyoripotiwa na media hasahasa kwenye mtandao na radio ni kuhusu beef ya Prezzo na msanii mwezake Jaguar lakini pia beef nyingine ya hivi karibuni na Diamond Platnumz ambayo ilitokea mwaka 2013.
Prezzo aliwahi kunukuliwa akisema alikua hafahamu kama kuna msanii anaitwa Jaguar bali alijua ni aina ya gari ambapo Jaguar aliwahi kunukuliwa akimkosoa Prezzo kwa kutoa muziki wa kujisifia kila wakati.
Chanzo cha beef ya Diamond na Prezzo kinadaiwa kuwa maneno aliyoyatoa Diamond pale alipoalikwa kufanya show moja ya Matumaini akatoa maneno kwamba atamgaragaza Prezzo akiwa anamaanisha kwamba siku hiyo atafanya show nzuri kuliko Prezzo.
Ni mwanzo wa beef ambayo Prezzo amekiri ilitokana na kutoelewana tu na kwamba kiswahili kilichotumiwa na Diamond sio kiswahili kilichozoeleka Kenya hivyo ilikua ngumu kwa Prezzo kuelewa ni lugha ya kibiashara na sio kwa ubaya.
Prezzo alifanya exclusive interview na AyoTV huku akiongea kuwa ameamua kuweka kando tofauti kati ya wawili hao.
Stori millardayo

Prezzo Amaliza Bifu Na Diamond Platinumz Pamoja Na Jaguar
Reviewed by Admin
on
Wednesday, May 14, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano