Kama humfahamu huyu mwanasiasa basi leo itakuwa siku yako ya kumtambua vyema.
Jamaa huyu mwanasiasa anajulikana kuwa mtu wa aina yake ukiuangalia mtizamo kuwa ni mwanasiasa mwenye cheo kikubwa.
Mwanasiasa huyu anaweza kuitwa sharobaro kwa vile anavyoishia kuanzia kuogelea kwa dhahabu, ofisi yake akiwa na simu yenye umbo la mwanamke aliyevalia bikini, mtindo wa mavazi yake na pia mienendo yake.
Katika mkutano uliofanyika wiki iliyopita, mwanasiasa huyu aliwashangaza hata wakuu wa nchi ikiwemo rais Uhuru Kenyatta kwa jinsi alivyovalia nguo.
Cheki nguo alizovaa:

Huu ndio huuite udigitali ama tuseme ndio nini?
Cheki Alichokivaa Mwanasiasa Sharobaro Mike Sonko Katika Mkutano Rasmi Wa Viongozi
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Monday, May 19, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano