Mara baada ya kunaswa, Bebuz alianzisha varangati kubwa lakini polisi jamii walimtuliza kwa virungu kisha kumfunga pingu na kumtaka atulize mzuka atoe ushirikiano vinginevyo angeumia.
Kijana huyo alitulia kwa muda lakini alipowaona OFM wakipiga picha, alilianzisha tena na kutaka kuvunja kamera huku akitamba kuwa alikuwa na uwezo huo ,Hata hivyo, OFM walikuwa makini kama kawaida yao.
Ufukwe wa Coco umekuwa ukilalamikiwa kwamba hukutanisha watu wenye malengo mbalimbali lakini wanaokwenda kwa ajili ya kufanya ufuska usiku ni wengi hasa siku za wikiendi ambako kunakuwa na burudani ya disko.
Kikosi maalum cha kufichua maovu OFM (Opereshen Fichua Maovu) cha GlobalPublishers kilipiga kambi katika ufukwe huo kwa muda wa wiki moja na kushuhudia maovu yanavyofanyika.
Pia OFM ilibaini kuwa katika ufukwe huo kumekuwa kukifanyika vitendo ambavyo siyo vya kiustaharabu ambapo watu wamekuwa wakifanya ngono katika vichaka na kwenye maji.
Katika siku za hivi karibu, machangudoa wamekuwa wengi ufukweni hapo na baadhi yao ni vibaka ambao wamekuwa wakitoka nduki na nguo za wanaume huku wakisachi na kuchukua kila kitu.
Msanii Wa Bongo Anaswa Akila Uroda Na Mwanafunzi
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Friday, May 16, 2014
Rating:
Yan nashangaa kweli m2 kanaswa anakula uroda nyie inawahusu nn me nachojua ni kwamba coco ikifika mishale ya saa moja polisi wanakataza wa2u kukaaa kule kwenye miamba miamba kwa7bu za kiusalama lakin nashangaa m2 kula uroda mnashadadia This is bullshit
ReplyDeleteBasi mwanafunzi wa shule?? Mbona asiende kutafuta malaya
Delete