Ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni. Kutana na kanisa ambalo watu hulewa siku ya Jumamosi hadi che! halafu siku ya Jumapili mwakaribishwa na mchungaji kwa maombi.
Kanisa lenyewe lapatikana mizingani mwa jiji la Nairobi na lenye jina tata la Helicopter Ministry.
Mji wa Nairobi siku hizi haushangazi tena kwani watu washauzoeza kwa vioja kuanzia makanisa ya makahaba hadi makanisa ya mashoga. Kile kitu ambacho bado hakijajitokeza ni kanisa l waumini wakiwa uchi.
Cheki kanisa lenyewe la Helicopter Ministry.
Kutana Na Kanisa Ambalo Siku Za Wiki Ni Klabu, Wikendi Ni Kanisa (Helicopter Ministry)
Reviewed by Admin
on
Friday, May 30, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano