Huddah Monroe amerudi. Na wakati huu amekuja na mambo mapya, ameamua kubadilika.
Staa huyu alichukua mkondo wa kujificha baada ya tabia zake mbaya kwa mtandao kuvuka mipaka. Kando na kuwa alikuwa akiwachukiza mafans wake, Huddah alizungukwa na skendo moja baada ya nyingine.
Lakini tukieka mambo ya zamani kando, Huddah ameapa kuwa amekuwa mdada mzuri na anataka maisha yake yawe yakilokole vile.
Cheki picha za mwamko mpya alizozirusha Huddah Monroe kuonyesha kuwa amebadilika.
Kweli amebadilka? |
Picha: Huddah Monroe Amerudi Tena, Amekuwa Tofauti?
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Thursday, May 15, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano