Maheeda kwa mtandao amerusha picha latest zikimuonyesha na hairstle mpya.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Maheeda ameweza kurusha hizi picha huku akiambatanisa na maneno:
My cheapest hairstyle ever #naturalisprettier.
Huu ni mtindo wa hairstyle ambao hupendwa sana na madada wakiwa manyumbani. Cheki picha yenyewe:

Maheeda Arusha Picha Mpya, Round Hii Adai Kuwa Na Mtindo Mpya Wa Nywele
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Saturday, May 24, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano