Staa anayevuma africa nzima kwa urembo na kwa sinema za Nollywood ameamua kupanua biashara yake kwa kuanza kuuza mikate.
Waambiwa kazi haichagui mtu.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, mdada huyu ameitangaza biashara yake na yupo serious kuongeza mikwanja yake.
Je msanii wako anapiga biashara gani?
Cheki picha ya Ini Edo aliyoirusha Instagram.
Ini Edo, Staa Wa Nigerian Nollywood Movies Aanzisha Biashara Ya Kuuza Mikate
Reviewed by Admin
on
Tuesday, May 27, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano