Na tetesi za kuwa amejichubua hadi kope ndizo zimefanya kuwa gumzo na mtaa.
Lakini mafans wake hawajaridhika kamwa na hatua aliyoichukua kwani wanampenda vile alivyo na makalio na ngozi yake.
Katika mitandao ya kijamii Vera amekuwa kumzo huku akipondwa kwa muda mrefu sasa kwa sababu ya hilo jambo la kujichubua na mambo yake mengine ya kushangaza, lakini hilo si tisho kwake.
Kupitia mtandao wake wa kijamii, Vera amewarushia mahaters wake wote kwa kuwaambia : "I WIPE MY ASS WITH ALL YOUR OPINION"
Cheki picha yenyewe:
Well sikujua kumbe maoni yetu ndio anayoyapangusia makalio yake,
Owk haezi kulaumika kwani cheo cha Queen wa makalio makubwa kinanganganiwa na wengi na tayari ameshapitwa na wengi hivyo anajitetea tu, amebakia kujichubua uso na ngozi kama shetani
Vera Sidika Atuma Salamu Kwa Mahasimu Wake, Wewe Ni Mmoja Wao!?
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Sunday, May 25, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano