Jina Vera Sidika likitajwa kitu cha kwanza kinachokuja kwa akili ya mtu ni makalio. Lakini sasa mwanadada huyu ameamua kubadilisha mtindo wake wa maisha na kutaka kupunguza ukubwa wa makalio yake.
Katika plani alioiweka ni kuwa mwanadada huyu ameamua kupunguza shepu yake ambayo imekuwa kubwa kupindukia.
Ataweza kweli!?
Vera Sidika |
Plani yake ya kupunguza mwili |
Vera ndani ya zoezi |
Kwa umakini waona shepu yake imepungua pakubwa |
Shepu mpya ya Vera |
Vera Sidika Aamua Kupunguza Makalio Yake Makubwa Yaliyopindukia
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Sunday, May 11, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano