Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Alivalia Nguo Ya $20,000 Wakati Wa Bachelorette Party. Cheki Picha

Siku ya Alhamisi Familia Ya Kim Kardashian pamoja na marafiki waliweza kufanya Bachelorette Party ambayo imewahusisha wanawake pekee.

Last Supper ya Kardashians na familia


Siku hio waliitambulisha kama last supper (chakula cha mwisho kabla Kim kuolewa) na waliweza kupiga picha kama muigizo wa Last Supper yenyewe.

Lakini kile kitu ambacho kiligonga watu vichwa ni nguo ya Kim Kardashian aliyovaa. Nguo hio ya kiajabu inakisiwa kugharimu dola $20,000.

Cheki picha ya nguo yenyewe:

http://photos-b.ak.instagram.com/hphotos-ak-frc/10362277_297215027122057_1216760718_n.jpg 


Kim Kardashian Alivalia Nguo Ya $20,000 Wakati Wa Bachelorette Party. Cheki Picha Kim Kardashian Alivalia Nguo Ya $20,000 Wakati Wa Bachelorette Party. Cheki Picha Reviewed by BkuHabari Admin on Saturday, May 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.