Unordered List

Definition List

FINALLY KIM KARDASHIAN AMESEMA 'Ye!!!!!!!!!!!!!!!!

Imekuwa rasmi Kim Kardashian na Kanye West wamekuwa bibi na bwana!!

Kimye pamoja na wageni walisherehekea rehearsal dinner iliyofanyika katika Palace of Versailles usiku wa jana kabla kusafiri na private jets hadi Florence, Italy siku ya Jumamosi.

Harusi ilifanyika katika Fort di Belvedere na watu wakubwa watajika kama vile Jay Z, John Legend, Carmelo Antony na familia nzima ya Kardashians.

Pastor Rich Wilkerson Jr. aliweza kuwafunganisha ndoa huku rafiki mkongwe wa familia ya Kardashian aliweza kuwa event planner wa harusi nzima.



Kabla harusi kuanza, 'Ye anaripotiwa  alikuwa amejawa na ubabaikaji mwingi huku akishindwa kustahimili kutembea vizuri wakati wote (alikuwa na wasiwasi mwingi)

"Ilikuwa inachekesha kwa vile Kanye alivyokuwa na wasiwasi." mmoja wa rafiki wa rapper huyo aliongea.

"Hii asubuhi Kanye alikuwa akismile muda wote lakini kila wakati ulipozidi kusongea ndipo alipozidi kuwa na wasiwasi.. Ni kawaida kwa mabwana harusi kwa jambo hilo kutokea"

Baada ya rehearsal dinner usiku wa jana Ufaransa, wawili hawa walipanda ndege pamoja na karibu wageni 200 hadi nchini Italia ili kusherehekea harusi yao.

Tegea upate picha, video, na fununu ZAIDI kwa siku chache zinazokuja kuhusu wawili hawa - na pia jiunge nasi kuhisabu siku hadi talaka kuwatakia wawili hawa harusi njema.

WAMEFAULU!!

Psss! Cheki List Ya Wote Ambao Washawahi Kumpanda Kim Kardashian


FINALLY KIM KARDASHIAN AMESEMA 'Ye!!!!!!!!!!!!!!!! FINALLY KIM KARDASHIAN AMESEMA 'Ye!!!!!!!!!!!!!!!! Reviewed by BkuHabari Admin on Saturday, May 24, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.