Mshukuru Mungu vile ulivyoumbwa kwani kuna wengine wangetamani kuwa na hio sura yako hata kwa dakika moja.
Kutana na Mannan Mondal, mwanamume wa miaka 50 anayeishi India na anaugua ugojwa wa Neurofabromatosis. India wamempajika jina la 'melting man' yaani mtu anayeyayuka.
Tatizo lake kuu sahizi ni kumlipia mtoto wake mahari huku akisahau kujishughulisha na mambo ya upasuaji wa sura yake.

Shukuru Ulivyoumbwa: Kutana Na Mwanamume Ambaye Ana Sura Mfanano Wa Ndovu
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Saturday, May 17, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano