Msanii Recho imekuwa siku hizi ni vigumu kwake kutushangaza. Amefanya mambo mengi zaidi ambayo yametufanya kumwona ni mwanadada aliye tofauti.
Kama ulidhania nimekosea headline na ilikuwa yafaa kuwa Miley Cyrus, basi umekosea, huyu ni Winfrida Josphat mwenyewe aka Recho.
Katika shoo aliyoweza kuifanya wikendi iliyopita siku ya Ijumaa katika ukumbi wa Sun Ciro uliopo Ubungo, Dar, ambapo kulikuwa na kinyang’anyiro cha kumsaka mlimbwende wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, mdada huyu joto lilimzidi na ikambidi kufanya shoo akiwa amevalia chupi (tushukuru mungu rroundi hakupiga kelele akitaka kuliwa uroda hadharani)
Recho alijeuka gumzo na baadhi yao walionyesha hisia tofauti kwa staa huyu.
Cheki picha zenyewe:

Recho Awatumbuiza Mafans Wake Kwa Jukwaa Akiwa Amevalia Chupi
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Monday, May 19, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano