Gazeti hilo lilianza kwa kichwa Alert (yawn): Kimye Weds halafu kwa kuanza sentensi ya kwanza kwa kusema 'Two jackass married each other' wakiashiria kuwa Kimye ni watu wakumbavu wenye mizaha.
Kando na hapo walimtaja Kim kuwa ni mwigizaji wa filamu za ngono huku Kanye wakimtaja kuwa ni jamaa mbinafsi asiyejali wengine.
Ingawa imetumia maneno machafu, New York post ni gazeti nilalomkubali Kim Kardashian kwani ndoa yake ya awali waliweza kuiandika katika gazeti lao na pia imeonyesha kuwa bado wanamkubali ila tu wamejaribu kuonyesha ubunifu flani katika habari yenyewe.
Cheki post yenyewe:
New York Post Yaidhalilisha Ndoa Ya Kimye, Wamtaja Kim Kama 'Sex Tape Star'
Reviewed by Admin
on
Monday, May 26, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano