Unordered List

Definition List

Amefunguka!! Corazon Kwamboko Amemuangukia Hermy B, Amtamani Kimapenzi!!

Mwanamke anayesifika zaidi jijini Nairobi Corazon Kwamboko amefunguka kuwa anampenda Hermy B. Katika akaunti yake ya Instagram siku ya Jumatatu, mwanadada huyu aliweza kurusha picha ya Hermy B halafu akaambatanisha na maneno haya:
 "Before Monday ends this is my real crash #MCM Hermes TPF"

Cheki post yenyewe:


Amefunguka!! Corazon Kwamboko Amemuangukia Hermy B, Amtamani Kimapenzi!! Amefunguka!! Corazon Kwamboko Amemuangukia Hermy B, Amtamani Kimapenzi!! Reviewed by Admin on Thursday, May 29, 2014 Rating: 5

1 comment:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.