Kim Kardashian na Kanye West wameweza kuvunja rekodi ya Instagram kwa kuwa na picha iliyopata likes nyingi zaidi kuliko zote
Awali rekodi hii ilishikiliwa na Justin Bieber na Selena Gomez kwa likes.
Kim na Kanye waliweza kufanya harusi yao tarehe 24 mwezi Mei ambayo ilikuwa gumzo ulimwengu mzima huku ripoti ya ndoa ya wawili hawa ikivutia hisia tofauti tofauti.
Hadi muda huu picha hio ya wawili hawa imeweza kupata likes 1.94 milioni.
Cheki picha yenyewe
Kim Kardashian-Kanye West Wedding Photo, Imevunja Rekodi Ya Instagram
Reviewed by Admin
on
Saturday, May 31, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano