Rihanna akiwa Los Angeles Clippers game siku ya Alhamisi ameweza kuonyesha hairstyle yake mpya huku nywele zake amezidia rangi la pink.
Akiwa amevalia vest nyeupe na jeans Rihanna alikuwa mdada wa kuangalia wakati wote.
Cheki picha hizo huku zikimuonyesha Rihanna akiwa mwenye furaha ajab! Psss makinika hajavaa sidiria. Nadhani yuko allergic nazo.

Picha: Rihanna Na Haistyle Mpya Na Nguo Ya....
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Saturday, May 17, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano