Siku ya Jumatatu Corazon Kwamboko, mwanadada mwenye umbo tata alifunguka kuwa anamtamani Hermy B kimapenzi jambo ambalo lilikuwa gumzo kwa mitandao.
Kumjibu Corazon, Hermy B bila kusita alirusha picha ya mpenzi wake na kuambatanisha maneno haya: "A best friend and everything in my life....you have always been there...i thank you for everything...you have my heart"
Hahah itabidi sasa Corazon atafute mitego mipya.
Cheki photo za mpenzi wa Hermy.
Duh! Baada Ya Corazon Kufunguka Kuwa Anamtamani Hermy B Kimapenzi, Hivi Ndivyo Alivyomjibu
Reviewed by Admin
on
Friday, May 30, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano