Yaani jinsi Diamond alivyobadili mziki wa TZ ungefikiri wasanii wengine wange muiga lakini wapi. Bado wanarudia makosa yale yale na wanashangaa kwa nini hawafiki mbali. Ally kiba bado anavaa vile vile kwenye steji na kwenye video nguo zile zile anazo zurura nazo mitaani video still mbovu mbovu.
Ommy Dimpoz bado anaona sifa kuringa ringa kutoa video hadi nyimbo yake ya Tupogo inachuja sasa haina video na haoni hasara aliyopata.
Lynex nae hivyo hivyo nyimbo ya mahakama ya mapenzi hadi imechuja haina video wakati mwenzao Diamond nyimbo moja video mbili na zaidi ya million 80 katumia no wonder yuko mbaali huku wao wamebaki hawajui wafanyaje.
Embu basi mwingine basi Diamond Japo Kidogo, Japo na yeye ana mapungufu yake hasa kwenye kumiliki Steji ila mengine kama PR na Unadhifu akiwa steji yupo vizuri asilimia 90

Kwa Nini Wasanii Wa Bongo Wanafaa Kumuiga Diamond Platinumz
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Wednesday, May 21, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano