Beyonce hakuweza kuhudhuria harusi ya Kim na Kanye siku ya jana kwa kuwa ni mahasimu wawili wasiopendana.
Lakini mpenzi wake Jay Z ambaye ni rafiki wa 'Ye aliweza kuhurudhuria sherehe yenyewe iliyofanyika Forte di Belvedere. Kwa kujitoa ili asionekane mchoyo, Beyonce kupitia akaunti yake ya Instagram aliweza kurusha picha ya Kim na Kanye ya Vogue na kuambatanisha salamu za kuwapongeza wawili hawa: "Wishing you a lifetime of unconditional love. God bless your beautiful family"
cheki post yenyewe;

Beyonce, Hasimu Mkuu Wa Kim Kardashian Awapongeza Kimye Kwa Harusi Yao
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Sunday, May 25, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano