Baada ya stori kusambaa kuwa Huddah Monroe amekuwa omba omba wa mtaani, sasa dada huyu mwenye utata amejitokeza kupiga picha na mtoto wa Raila Odinga, Raila Odinga Jnr.
Jnr. anaaminika kuwa mmoja wa vijana tajiri jijini Nairobi.
Cheki picha yenyewe
Huddah Monroe Apiga Pozi Na Raila Odinga Jnr.
Reviewed by Admin
on
Tuesday, May 27, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano