Muda huu Kim Kardashian na Kanye West wako nchini Ufaransa wakingojea siku ya 24 Mei ambapo wanatazamiwa kufunga harusi (itakuwa wikendi inayokuja).
Na katika pita pita zao za kufanya shopping, Kim amepigwa picha na mapaparazi akiwa amevalia kiguo bila kuvalia sidiria ndani, sijui joto ndilo jingi huki Paris ama ni kujiandaa vyema kuingojea siku yao ya harusi na Kanye West.
Cheki baadhi ya picha zenyewe:

Kim Kardashian Apiga Mitaa Ya Kati Bila Kuvaa Sidiria
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Tuesday, May 20, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano