Jay Z anaweza kuwa best man wa Kanye West katika harusi yao ya mwaka ambayo inafanyika masaa machache kutoka sahizi, lakini Jay Z anaonekana kuwa hajaridhishwa na harusi yenyewe kwa kuwa inamulikwa sana na vyombo vya habari.
"Jay Z anadhania kuwa harusi ya Kimye ni mzaha mkubwa na imevuka mipaka yake," chanzo kilieleza. "Jay anampenda Kanye lakini akimpa mgongo tu anamsimanga. Wakati alipoulizwa kuhusu harusi yao, alicheka halafu akasema, 'Sarakasi inaenda Paris (The Circus goes to Paris)'"
Chanzo kinazidi kuendelea kusema kuwa "Jay hana kinyongo na Kanye lakini Kim anamuharibia sifa Ye!, Kim hana sifa nzuri kwa mwanamke wa kutembea naye "
Kulingana na chanzo kilichoiambia Radar Online ni kuwa Jay Z anawacheka na kuwainjoy Kimye nyuma yao na amejitenga na maandalizi ya harusi yenyewe kadri awezavyo.
Jay Z na Kanye West |
Chanzo kinazidi kuendelea kusema kuwa "Jay hana kinyongo na Kanye lakini Kim anamuharibia sifa Ye!, Kim hana sifa nzuri kwa mwanamke wa kutembea naye "
Jay Z Kwa Kanye West Kuhusu Ndoa Ya Kimye: Sarakasi Inaenda Paris
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Saturday, May 24, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano