Unordered List

Definition List

Chuo Kikuu Cha Nairobi Kupokea Kondomu 300,000 Zenye Manukato Kila Mwezi Kwa Mabweni Yao

Chuo kikuu ambacho kinajisifu kuwa na wanafunzi mwenye makalio makubwa Nairobi kimepewa tunuku kubwa. Hii ni baada ya Ubalozi wa Australia kuwaahidi kuwapatia wanafunzi hao kondomu laki tatu zenye manukato kila mwezi.


Hii imejiri baada ya utafiti kugundua kuwa asilimia kubwa ya wanaunzi wa vyuo vikuu  hujishughulisha na matendo ya ngono bila kinga. Hatua ambayo imechukuliwa ili kukabiliana na maambukuzi ya ugonjwa wa UKIMWI.

Je waona kama hili ni suluhisho ama ni kuendeleza uchafu na maovu vyuoni?

Chuo Kikuu Cha Nairobi Kupokea Kondomu 300,000 Zenye Manukato Kila Mwezi Kwa Mabweni Yao Chuo Kikuu Cha Nairobi Kupokea Kondomu 300,000 Zenye Manukato Kila Mwezi Kwa Mabweni Yao Reviewed by BkuHabari Admin on Friday, May 16, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.