Ndoa ya Kim Kardashian na Kanye West inafanyika leo.
Mamia ya watu walijitokeza usiku wa jana katika Vasailles Palace na kulifanywa shoo na Lana Del Ray ambaye pia alipiga shoo wakati wa Kanye alipompigia Kim Kardahian magoti mwezi wa October.
Baadhi ya wageni waliohudhuria wakiwemo Jonathan Cheban, Simon Huck, Rick Rubin, Guy Oseary, Gunnar Peterson, Harley Pasterna and Alber Elbaz.
Walipitia security check na kukaguliwa kabla kuruhusiwa kuingia kwa event yenyewe kabla kusafirishwa na farasi spesheli kwa tukio hilo.

Hizi picha zimepigwa ndani ya Versaille Palace lakini tusitarajie kuwe na aerial views ya sehemu hii kwani kumepigwa marufuku hata ndege kupitia sehemu hii.
Tegea kwa updates zaidi za harusi ya Kimye
Kim Kardashian Reharsal Dinner Pics
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Saturday, May 24, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano