Akipiga stori na paparazi, Snura alifunguka kwamba tofauti na wanaume wote aliowahi kuwa nao, DJ Hunter wanapendana kwa dhati na anaamini ndiyo chaguo sahihi kwake. “Sijawahi kuwa na mpenzi nikamtambulisha kwenye media bila kuwa nimempenda kwa dhati, tunapendana sana na Hunter, hatuwezi kuachana kwa mipango ya binadamu,” alisema Snura.
Je Wamjua Nani Anayemsumbua Snura Kimapenzi? Mfahamu Hapa
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Saturday, May 24, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano