Unordered List

Definition List

Penny Akana Tetesi Kuwa Amepata Chombo Kipya Tangu Aachane Na Diamond Platinumz

Penny2 
Penny wiki iliyopita alikuwa gumzo la jiji baada ya tetesi kuwa amepata mchumba mpya.

Katika tetesi hio ilisemekana kuwa Penny alidai kuwa hataki kusikiliza stori zozote za Diamond Platinumz. Usome uvumi wote hapa: Penny: Sitaki Stori Za Diamond, Nina Mchumba Mpya

Lakini Leo Penny amefunguka kuwa kuna watu wapo tu kwa kumharibia jina. Penny anadai kuwa hana mchumba yeyote na kuwa yupo 'single' bila stress za yeyote. Tetesi zinadai kuwa Penny ana mawasaliano na Rummy.

Penny
Penny akiwa na Rummy

Alichosema Penny kuhusu suala zima:
“Ah come on people!!?? Kweli mi ni mkimya ila sasa mnavuka mipaka, seriously?? Am so disappointed to see posts that Rummy is my new boyfriend..mnatoa wapi hizi rumours? Just because sijibu shutuma natupiwaga haimanishi mimi sio binadamu kila siku mnanizushia mapya its not funny maisha yangu kutwa mnayafanya uwanja wa kutunga kitu, yes mnatukana na hakuna tusi jipya nawaacha ili mjifurahishe but now u r crossing the line, I have alot of respect for Rummy he is my homeboy na marafiki pia wa kiume nisiwe nao? Wengi wanajua rummy ni nani yangu ila making these stories aint cool at all. Enough has a limit! Nitukaneni all u want ila msinisingizie vitu sijafanya its just not fair at all. Kama new boyfriend ntaweka mwenyewe mapenzi hayajifichi ila tusizushiane uongo, nayavumilia mengi ila hili too much.”

Penny Akana Tetesi Kuwa Amepata Chombo Kipya Tangu Aachane Na Diamond Platinumz Penny Akana Tetesi Kuwa Amepata Chombo Kipya Tangu Aachane Na Diamond Platinumz Reviewed by BkuHabari Admin on Wednesday, May 21, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.