Unordered List

Definition List

Rehema Fabian Arusha Picha Ya Nusu Uchi Kwa Mtandao

Aliyekuwa mshiriki wa Miss Kiswahili Rehema Fabian sasa naye amejiunga na kilabu cha akina Masogange, Wema Sepetu, Snura, Wolper, na Aunt Ezekiel. Kilabu chenyewe ni kile kile ila tu kinaendelea kupata waendelezaji wapya.....kilabu cha kurusha picha za uchi.


Staa huyu baada ya kujishusha hadhi baada ya kupiga picha za kimahaba na kibabu kizungu (nadhani alikuwa mpenziwe) sasa ameamua kuwavuta mashabiki wake kwa mtindo mwafaka, wa kupiga picha za uchi.

Katika mtandao wa Instagram, mwanadada huyu mrembo aliweza kurusha picha ya 'uchi' akiwa amevalia kipande halafu kujizuia matiti na nguo mkononi.

Cheki picha yenyewe:




Hapo wasemaje sasa!

Rehema Fabian Arusha Picha Ya Nusu Uchi Kwa Mtandao Rehema Fabian Arusha Picha Ya Nusu Uchi Kwa Mtandao Reviewed by BkuHabari Admin on Sunday, May 18, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.