Unordered List

Definition List

Mamake Diamond Platinumz Finally Amkubali Wema Sepetu, Wapiga Picha Pamoja!!!

Cheki picha ya Wema Sepetu akiwa na mamake Diamond Platinumz, finally wamekubaliana!!! Wawili hawa kawaida wanajulikana kuwa kama pamba na moto huku mamake Diamond kuna wakati aliweza kumkana Wema kuwa hampendi.  Lakini hivi sasa....Mui huwa mwema!!!

Katika picha hio waliopiga pamoja, Wema Sepetu aliweza kuambatanisha hio picha na maneno haya kwa mtandao wa Instagram.
'Mimi apa na mamy akeee.... Mzazi Chema wangu....Sie tena.... Unaambiwa ukipenda boga penda na ua lake..... earlier today after kumspoil mwenyewe.... Love u mama'

 


Mamake Diamond Platinumz Finally Amkubali Wema Sepetu, Wapiga Picha Pamoja!!! Mamake Diamond Platinumz Finally Amkubali Wema Sepetu, Wapiga Picha Pamoja!!! Reviewed by BkuHabari Admin on Sunday, May 18, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.