Unordered List

Definition List

Justin Bieber Aahidiwa Kulipwa $ 1Milioni Akikubali Kuwa Mnenaji Wa Kilabu Cha Madanguro


 Justin Bieber wiki iliyopita amekuwa akikubwa na majanga ya kila aina huku kukiwa na shaka kama watu watamkubali mbeleni.

Amelaumiwa kujaribu kuiba simu. Amenaswa akimtukana mmoja wa mafans wake. Na sahizi ana kesi kotini baada ya kushtakiwa na mpiga picha.

Justin Biber akila mtaa
Lakini haya yote yamempendeza jamaa mmoja ambayo ni staa wa filamu za ngono Larry Flynt.
Katika barua iliyopatikana na gazeti la Dish Nation, Larry Flynt amemuahidi kumpa Justin Bieber $1 milioni kama atakubali mkataba wa kuwa mnenaji mkuu katika klabu chake cha madanuro.

Barua hio inaeleza kuwa Justin ni mfano mzuri wa vijana ambao wanapitia maisha yao kabla kutimia miaka 21.

Bieber kama kawaida yake ni msanii ambaye anapenda kujishughulisha na madanguro na si mara ya kwanza kuwahi kuonekana sehemu hizo.
Justin Bieber Aahidiwa Kulipwa $ 1Milioni Akikubali Kuwa Mnenaji Wa Kilabu Cha Madanguro Justin Bieber Aahidiwa Kulipwa $ 1Milioni Akikubali Kuwa Mnenaji Wa Kilabu Cha Madanguro Reviewed by BkuHabari Admin on Monday, May 19, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.