Unordered List

Definition List

Huddah Monroe Ajeuka Omba Omba Mtaani

Huddah Monroe anajivunia kuwa mmoja katika list ya madada wa Prezzo ambao ashawahi kuwaninihii, lakini mdada huyu mbona sahizi hawiki?

Hivi  majuzi Huddah Monroe alirudi kwa mitandao na kudai kuwa amebadilisha mienendo yake. Kisa ni kuwa eti amedhalilishwa sana na mitandao ya kijamii nyakati za awali hivyo basi ameamua kuwa na muamko mpya.

Lakini tetesi zinazoibuka kwa mitandao ya Nairobi ni kuwa Huddah Monroe amekuwa maskini.
Inasemekana kuwa Huddah amekuwa omba omba wa mitaani akienda kutafuta chakula na makaazi kutoka kwa marafiki zake wa karibu.

Hivi juzi ilisemekana kuwa mdada huyu alikuwa akiekwa kinyumba na jamaa asiyejulikana, lakini sasa ishabainika kuwa anaishi katika mitaa duni kule pangani.

Sahizi eti Huddah inasemekana amekuwa akiomba hadi nauli za kutembelea mikutano mijini, kinaya cha zamani ambapo alikuwa akipewa hifadhi ya VIP.

Tetesi zinaendelea kudai kuwa amepunguzwa kiasi cha kuwa sahizi anaomba kulala hata kwa dakika na mastaa watajika.

Hivi tatizo lilianza ule wakati baada ya kudai ameibiwa pesa?

SISEMI KITU

Cheki Huddah akijishasha kwa picha zama zake za kale

Usisahau kulike page yetu ya facebook kupata issue latest kuhusu Huddah
Huddah Monroe Ajeuka Omba Omba Mtaani Huddah Monroe Ajeuka Omba Omba Mtaani Reviewed by Admin on Thursday, May 22, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.