Katika picha zilizopigwa faraghani, Kim alionekana kuvalia nguo nyeupe, Kanye akionekana akiwa amevalia nguo nyeusi.
Ule ukuta uliopambwa na maua urefu wa futi 20 uliweza kuezekwa ili kuzuia watu kuchungulia harusi yenyewe kutoka milimani.
Harusi ilifanyika Forte di Belvedere, Kimye walitumia mamilioni ya pesa kuwasafirisha wageni kutoka Marekani hadi Uropa ili kuifanya harusi yenyewe kwa usiri.
Cheki picha za kwanza zilizoachiliwa kutoka kwa mtandao:
Ukuta uliopambwa na maua kwa mikono wenye urefu wa futi 20, |
Picha Za Kwanza Kutoka Harusi Ya Kim Kardashian
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Sunday, May 25, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano