Kanye West siku ya jana aliweza kumsuprise Kim Kardashian kwa kumleta Lana Del Ray kuja kufanya shoo wakati wa dinner.
"Kanye amekuwa akimsifu kwa kumtajia mambo matamu Kim" mmoja wa wale waliohudhuria waliiambia Us Weekly.
Baadhi ya maneno aliyokuwa akimwambia Kim K ni: 'It's amazing to look around this room, there are so many talented people... 'Kim's way more beautiful than I am talented.'
Kulingana na waliohudhuria sherehe ya jana ni kuwa Kimye walikuwa na furaha wakati wote.

Sherehe hio ya dinner ilifanyika Vasailles Palace jijini Paris na harusi yenyewe inatarajiwa kufanyika leo Florence's Forte di Belvederein nchini Italy.
Kim na Kanye wanatarajiwa kuvishana pete mbele ya ukuta mkubwa uliopambwa na maua meupe, zaidi ya maua aliyopewa Kim wakati akisherehekea Mothers' Day mwaka huu.
Baada ya kubadilishana pete, wageni watakula kwa meza yenye urefu wa mita 70 iliyotengenezwa kwa mawe spesheli.
Kuna sehemu kubwa iliyotengwa kwa kucheza densi, kando na hapo jumba hilo la kifahari limezungukwa na umeme kuhakikisha kuwa usiku mzima utakuwa na mwangaza.
Wageni wanatarajiwa kufika kwa sherehe kuanzia saa 12 hivi jioni masaa ya Italy. Ushaimagine sherehe itakuwaje?
Tegea humu ndani kwa udaku, picha na update zozote zitakazo ingia kuhusu harusi ya Kimye

Kanye West Kwa Kim Kardashian: You Are So Beautiful
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Saturday, May 24, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano