Mashabiki walishangazwa katika shoo ya BB&T Centre mjini Florida siku ya Jumatatu May 5, 2014, wakati Lady Gaga alipovua nguo zake jukwaani. Lady Gaga ambaye yuko tour ya ArtRave: Artpop aliweza kuzivua nguo zake bila wasiwasi mbele ya hadhira.
Cheki tukio zima kwa picha:
Picha: Lady Gaga Ashangaza Mafans Wake Alipoanza Kuvua Nguo Kwa Stage
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Saturday, May 17, 2014
Rating: 5
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano