Msanii aliyekomaa katika tasnia ya muziki Lady Jay Dee anatarajiwa kuwa katika kava ya mbele ya gazeti la Vibe.
Tofauti na mastaa waliotangulia katika gazeti hilo, Lady Jay Dee amevalia magwanda ya kupigana.
Hii inaashiria kuwa Lady Jida yuko tyt kwa gemu ya usanii.
Cheki cover pictures zilizoachiliwa n Vibe.
Lady Jay Dee Ajiandaa Kupigana Katika Gazeti La Vibe
Reviewed by Admin
on
Friday, May 30, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano