Muigizaji wa filamu, Irene Uwoya, amezama kwenye penzi la mwalimu wa kucheza muziki wa THT, Msami.
Kwa mujibu wa mahojiano kati ya mpenzi wa Msami aitwaye Rehema na Soudy Brown wa U Heard, Irene ndiye aliyependa (kumtongoza) kuwa na Msami licha ya kufahamu kuwa tayari ana mpenzi mwingine.
Rehema amesema kilichomfanya Msami akubali kuwa ‘Serengeti’ wa Uwoya ni kwa kuwa amekuwa akiwezeshwa fedha zinazomweka mjini.
Rehema amesema Msami amekuwa kwenye uhusiano na Uwoya ni tamaa za kuwa na maisha mazuri. “Ni tamaa tu za vijana, si unajua tena ukiwa bado hujatoka. Wanashawishika na tamaa yahela ili apate kutoka na ajulikane,” amesema Rehema.
Picha: Irene Uwoya Azama Kwenye Penzi la Dancer wa THT, Msami
Reviewed by Admin
on
Thursday, May 29, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano